Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent aendelea kuvunja rekodi za Drake

50 Cents 50 Cent.

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa maarufu duniani, 50Cent anaendelea kuongeza rekodi anazovunja kwa ziara yake ya “Final Lap”.

Kwa mujibu wa Touring Data, ziara ya 50 Cent ya “Final Lap” inakuwa ziara ya 4 ya Hip-Hop kuingiza zaidi ya Dola Milioni miamoja (100$) katika mapato.

50 anaungana na wasanii kama Drake aliyefanya hivyo mara mbili na ziara ya “Aubrey & The Three Amigos” akiwa na Migos na ziara yake ya hivi karibuni ya “It’s All A Blur” ziara zote hizo zilivuka mapato ya $100 Milioni.

#KendrickLamar pia yuko kwenye orodha na ziara yake ya “The Big Steppers”.

ziara ya mwisho ya 50 Cent kama ilivyoripotiwa hapo awali itakuwa ziara ya 2 ya juu zaidi ya Hip-Hop nyuma ya ziara ya Drake ya “It’s All A Blur” na kabla ya ziara ya Kendrick “Big Steppers”.

Kibongo bongo, imekaaje?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live