Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent: Sijaridhishwa na maamuzi ya Mawakili

50 Cent Kumrithi P Diddy 50 Cent: Sijaridhishwa na maamuzi ya Mawakili

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

50 Cent amejitokeza na kulalamikia taarifa ya ofisi ya mawakili jimbo la Los Angeles Marekani, kushindwa kumshtaki kwa sababu tukio hilo lilifanyika muda mrefu (2016) hivyo kisheria limepita muda wa kufunguliwa mashtaka.

50 Cent ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram, kuwa wameamua kuvujisha video hiyo kwa kuwa walijua hawawezi kumshtaki, na wanadhani watu hawajaona kilichoonekana.

Tuendelee kusubiria mvua iendelee kunyesha tuone panapovuja

Chanzo: www.tanzaniaweb.live