Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

2Baba aahidi kurudi kivingine kwenye gemu

2Baba Aahidi Kurudi Kivingine Kwenye Gemu.jpeg 2Baba aahidi kurudi kivingine kwenye gemu

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe wa Muziki kutoka Nigeria @official2baba ameahidi kurudi kwenye muziki kivinge , hii ni mara baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo bila kuachia kazi.

Mkongwe wa Muziki kutoka Nigeria @official2baba ameahidi kurudi kwenye muziki kivinge , hii ni mara baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo bila kuachia kazi. 2baba ameweka utani kuwa hawezi kuja kama msanii anyechipukia ila anaingia jikoni tena kwaajili ya kuandaa nyimbo kwaajili ya Mashabiki zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live