Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

21 Savage kufanya Tamasha nchi aliyozaliwa

21 Savage ‘Rapa’ 21 Savage

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ 21 Savage ametangaza kufanya tamasha lake la kwanza katika nchi aliyozaliwa ambapo onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja maarufu wa O2, London nchini Uingereza.

‘Rapa’ 21 Savage ametangaza kufanya tamasha lake la kwanza katika nchi aliyozaliwa ambapo onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja maarufu wa O2, London nchini Uingereza. Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 30, mwaka huu na litakuwa la siku mbili ambapo ‘tiketi’ zinatalajiwa kuanza kuuzwa Oktoba 13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live