Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

21 Savage aiteka Spotify kwa saa 24

21 Savagee 21 Savage.

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka Marekani 21 Savage aliuteka Mtandao wa Spotify kupitia Album yake ya 'American Dream ' baada ya kusikilizwa na watu zaidi ya Milioni 42 kwenye mtandao wa huo kwa saa 24 pekee siku yake ya kwanza sokoni.

Rapa kutoka Marekani 21 Savage aliuteka Mtandao wa Spotify kupitia Album yake ya 'American Dream ' baada ya kusikilizwa na watu zaidi ya Milioni 42 kwenye mtandao wa huo kwa saa 24 pekee siku yake ya kwanza sokoni. Album ya 'American Dream 'inakuwa ni ya Tatu kwa 21 Savage iliyoachiwa Januari 12 mwaka huu ikijumuisha wasanii kama Travis Scott, Burna Boy, Young Thug na wengine kibao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live