Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

21 Savage Kuachia Albamu Mpya

21savage 21 Savage Kuachia Albamu Mpya

Sun, 23 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa maarufu duniani, 21 Savage ametangaza ujio wa album mpya ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu atoe albam yake. Kupitia akaunti yake ya Twitter yake, 21 Savage ameandika “No album in a year and a half tho…it’s time,”.

Mizuka ya 21 Savage imeamshwa na mafanikio makubwa ya wasanii wenzake kwenye chati za Billboard Hot 100 zilizoonyesha wasanii walioingiza ngoma nyingi zaidi mwaka 2022.

Wasanii The Weeknd ana ngoma 17, Gunna Gunna '15', Drake '5', Justin Bieber '5' na 21 Savage '4'. Mwishoni mwa mwaka 2021 21 Savage alitoa ngoma “No Debate” na “Big Smoke” na kusikika kwenye colabo za wasanii J. Cole, Drake, DJ Khaled, Nardo Wick na Pop Smoke.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live