Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

2000 mpaka 2015 kilikuwa kizazi bora cha muziki

Safaree Safaree

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpenzi wa zamani wa rapa wa kike #NickiMinaj na mwandishi wa nyimbo Safaree Samuel anaamini kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 ndio muda uliokuwa na kizazi bora cha muziki.

Safaree ameshea hilo kupitia mtandao wake wa X baada ya kuandika; "Muziki wa Era ya 2000 - 2015 ulikuwa wakati bora zaidi katika muziki, kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii na video zilikuwa za moto. kizazi cha sasa hakipendwi"

Kizazi gani kilikuwa bora kwenye muziki kwa upande wako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live