Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

20 za 'High School' ya Harmonize

HM 20 za 'High School' ya Harmonize

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Harmonize ameachia 'Cover' pamoja na list ya nyimbo 20 ambazo zinapatikana kwenye albamu yake ‘High School’ inayotarajiwa kutoka Novemba 5 mwaka huu huku ikiwa na kolabo 6 pekee.

Harmonize ameachia 'Cover' pamoja na list ya nyimbo 20 ambazo zinapatikana kwenye albamu yake ‘High School’ inayotarajiwa kutoka Novemba 5 mwaka huu huku ikiwa na kolabo 6 pekee. Kwenye albamu hiyo ya pili ya Tembo amewapa mashavu Sarkodie kutoka Ghana, Naira Marley (Nigeria), Busiswa Gqulu (Afrika Kusini) huku kutoka Bongo Ibraah, Anjella wote kutoka Konde Gang na Sholo Mwamba.

Chanzo: eatv.tv