Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

'11:11' ya Chris Brown ipo tayari

Chris Bs '11:11' ya Chris Brown ipo tayari

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Po duniani, Chris Brown ameeleza rasmi kuwa albam yake ya '11:11' ipo tayari.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka cover ya album hiyo na kuandika kuwa, “na hivi sasa ni muda wakufanya matamanio kuwa ya kweli”.

Mara ya mwisho Chris alitoa album mwaka 2022 aliyoipatia jina la "Breezy".



Je, unatamani kuona kitu gani cha tofauti katika album hii ijayo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live