Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

vibaka, majambazi watafute kazi nyingine - Kamanda Kyando

HAHHAHAHA SHY vibaka, majambazi watafute kazi nyingine - Kamanda Kyando

Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: dar24.com

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga George Kyando amesema vibaka wanaovamia nyumba za watu na kuiba mali pamoja na majambazi wanaotumia silaha amewataka waache vitendo hivyo na kutafuta shughuli halali zitakazowaingizia kipato.

Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ambapo amesema atahakikisha changamoto ya vibaka kuvamia mitaani inakwisha na wananchi wanaishi kwa amani,

Kesi ya sabaya imehairishwaAidha amewataka waendesha bodaboda na kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali za barabarani zisizokuwa za lazima.

Wakizungumzia changamoto ya vibaka baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Shinyanga wameliomba Jeshi la Polisi kuendelea kuimarisha ulinzi ili kukomesha matukio hayo.

Mahakama Kuu ilivyopiga ‘stop’ uchaguzi TFF, yawaita viongoziCAG awasilisha ripoti ya fedha zilizochukuliwa Benki Kuu, Januari – Machi

Chanzo: dar24.com