Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yatakayowakumba wezi fedha wateja benki haya hapa

F13d9a50cfcd5cfaa952116144b2f14c.jpeg Yatakayowakumba wezi fedha wateja benki haya hapa

Fri, 9 Apr 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

“Endapo itabainika kuwa wizi wa fedha za mteja umefanywa na mtumishi wa benki, hatua stahiki huchukuliwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo ikiwa ni pamoja na mteja kulipwa kiasi alichoibiwa na mhalifu kuchukuliwa hatua za kinidhamu pamoja na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria,” amesema Waziri wa Fedha na Mipango

Akijibu swali la Mbunge wa Jang’ombe Ali Hassan King, aliyeuliza kuwa iwapo wizi unapotokea kwenye akaunti ya benki ya mteja uliofanywa na mtumishi wa benki ni nani mwenye wajibu wa kumlipa mteja.

Waziri huyo alisema adahabu dhidi ya mtuhumiwa itachukuliwa sambamba na fedha kurudishwa kwa mteja

Pia alisema kuwa Benki Kuu itatoa adhabu kwa benki husika pale inapobainika kwamba utaratibu uliowekwa na benki husika ulikuwa na kasoro zilizochangia kuibiwa kwa fedha za mteja.

Chanzo: www.habarileo.co.tz