Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mbarawa kutoa ushahidi mahakamani

89188 Mbarawa+pic Waziri Mbarawa kutoa ushahidi mahakamani

Fri, 20 Dec 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Waziri wa Maji nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa leo Alhamisi Desemba 19, 2019 amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa ushahidi katika kesi ya jinai namba 3/2017 inayomkabili Winfrida Masawe.

Dar es Salaam. Waziri wa Maji nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa leo Alhamisi Desemba 19, 2019 amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa ushahidi katika kesi ya jinai namba 3/2017 inayomkabili Winfrida Masawe. Masawe wanakabiliwa na mashtaka  manne ikiwemo ya kujipatia Sh700,000 kwa njia ya udanganyifu akijifanya yeye ni waziri huyo. Alitenda kosa hilo wakati  Profesa Mbarawa alipokuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Chanzo: mwananchi.co.tz