Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watupwa jela kwa kuiba Nguruwe wa Mwalimu

JELAAAAAAAAAAA Watupwa jela kwa kuiba Nguruwe wa Mwalimu

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: Eatv

Watu wawili wakazi wa mtaa wa Msakasaka wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano kwenda jela kwa kuiba vitu mbalimbali ukiwemo mfugo aina ya Nguruwe mali ya mwalimu wa shule ya sekondari Kiteto.

Watu wawili wakazi wa mtaa wa Msakasaka wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano kwenda jela kwa kuiba vitu mbalimbali ukiwemo mfugo aina ya Nguruwe mali ya mwalimu wa shule ya sekondari Kiteto. Hukumu hiyo imetolewa leo Desemba 7, 2022 na wawili hao ambao ni John Solomon (25) na Sadick (33) walishtakiwa kwa makosa manne, likiwemo la kuvunja nyumba, kuiba godoro, shuka, neti na kitanda, pamoja na kuiba mfugo aina ya Nguruwe na kupatikana na vitu vya wizi ikiwemo nyama ya nguruwe ya mwalimu huyo.

Chanzo: Eatv