Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watumishi Sita Mamlaka ya Maji wafikishwa Kizimbani kwa Uhujumu Uchumi

Kizimbani Watumishi wa Mamlaka ya Maji Arusha wafikishwa Kizimbani.

Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani watu 6 wa Mamlaka ya Maji Jijini Arusha (AUWSA) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, kula njama na kujipatia Tsh. Bilioni 5.3.

Walitenda makosa hayo kati ya Desemba 2017 na Oktoba 2018, ambapo walikula njama kupitia Mradi wa Maji wa Kanda bila kufuata taratibu za manunuzi.

Waliokamatwa ni pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa AUWSA, Mhandisi Ruth Koya na Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiure Engineering, Omari Kiure.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live