Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watuhumiwa waliotoboa bomba la mafuta na kujiunganishia wafikishwa Mahakamani leo

1396 WhatsApp Image 2018 01 16 At 11.59.21 660x400.jpeg

Wed, 17 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 16, 2018 Watu saba ambao wanadaiwa kujiunganishia bomba kuu la mafuta ya Dizeli hadi nyumbani kwao  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kusomewa mashtaka hayo.

Watu hao walikamatwa siku chache za nyuma na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali Kigamboni ambapo wote walikuwa wakifanya kazi hiyo ya kunyonya mafuta katika bomba hilo la Tanzania na Zambia (TAZAMA).

Wafanyakazi NAKUMATT walalamikia kukosa mshahara



 

Kampuni yajifungia kuchapisha GAZETI kwa miezi mitatu na kuomba msamaha kwa JPM na Kagame



 
Chanzo: millardayo.com