Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watuhumiwa 188 wakamatwa kwa wizi, kusafirisha dawa za kulevya

Mbaroni (1) Watuhumiwa 188 wakamatwa kwa wizi, kusafirisha dawa za kulevya

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limewakamata watuhumiwa 188 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo ya wizi na usafirishaji wa dawa za kulevya.

Akitoa taarifa hiyo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi, ACP Salvas Makweli leo Jumanne Novemba 14, 2023 amesema jeshi hilo lilifanya operesheni maalum kuanzia Oktoba 13 hadi Novemba 13 mwaka huu kwa lengo la kuwakamata watuhumiwa wanaojihusisha na matukio hayo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live