Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu wasiofahamika wavamia nyumbani kwa Pole pole

Pole Pole Namna hali alivyoikuta Humphrey Pole pole

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wasiofahamika wamevamia na kufanya uharibifu wa mali katika nyumba anayoishi Mbunge na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole Jijini Dodoma.

Pole pole amesema watu hao wamevamia na kuiba Televisheni na kupekua katika sehemu kubwa ya nyumba yake wakati yeye akiwa safarini Mkoani Manyara.

Kwa sasa Polepole amekwenda kutoa taarifa kituo cha Polisi kwa ajili ya hatua zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live