Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 690 wauawa Simiyu

MAUAJI LEEEOOO Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa

Mon, 1 Nov 2021 Chanzo: eatv.tv

Watu 690 wameripotiwa kuuawa kwa kukatwa mapanga katika mkoa wa Simiyu, wengi wao wakiwa ni wanawake, hii ni kutokana na taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani humo.

Watu 690 wameripotiwa kuuawa kwa kukatwa mapanga katika mkoa wa Simiyu, wengi wao wakiwa ni wanawake, hii ni kutokana na taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani humo. Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa jeshi hilo, Israel Makongo, amewaambia wajumbe wa baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani humo kuwa, mauaji ya watu hao yamefanyika kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka huu 2021.

Chanzo: eatv.tv