Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 35 wakamatwa na KG 51.16 za unga Dododma

Dawa Za Kulevya Watu 35 wakamatwa na KG 51.16 za unga Dododma

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 35 wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kukutwa na KG 51.16 za dawa za kulevya Mkoani Dodoma kati ya mwezi November 2022 hadi January 2023.

RPC wa Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi Martin Otieno amesema miongoni mwa waliokamatwa ni Wauzaji na Watumiaji wa dawa hizo.

"Jumla ya Watuhumiwa 35 ambao ni Wauzaji na Watumiaji wa dawa za kulevya na kiasi kilichokamatwa ni takribani kilogramu 51.16"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live