Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watatu washikiliwa na polisi kwa mauaji ya wanawake Arusha,yupo mganga

WhatsApp Image 2021 02 16 At 10.22.13 660x400.jpeg Watatu washikiliwa na polisi kwa mauaji ya wanawake Arusha,yupo mganga

Wed, 17 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la polisi mkoani Arusha limewakama mtandao wa watuhumiwa watatu wa mauaji ya matukio ya wanawake mkoani Arusha ambayo yamekuwa yakifanyika mara kwa mara.

Jeshi la polisi mkoani Arusha limewakama mtandao wa watuhumiwa watatu wa mauaji ya matukio ya wanawake mkoani Arusha ambayo yamekuwa yakifanyika mara kwa mara. Akizungumza na waandishi wa Kamanda wa polisi mkoani Arusha,Salum Hamduni amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Mbise Sanare Lekumo(30) mkazi wa Olasiti ,Lembeka Olomorojo(65) mkazi wa Osunyai na mganga wa kienyeji Bashiri Msuya (64)mkazi wa mtaa wa Kirika B kata ya Osunyai jijini Arusha.

Chanzo: millardayo.com