Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watanzania wanaswa na vinyonga vya Milioni 8, wafikishwa Mahakamani

Maxresdefault 71 11 660x400.jpeg Watanzania wanaswa na vinyonga vya Milioni 8, wafikishwa Mahakamani

Wed, 17 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Watanzania watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na Vinyonga 74 wenye thamani ya Mil. 8.5 bila kuwa na kibali kutoka kwa Mkurugenzi wa Wanyamapori.

Watanzania watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na Vinyonga 74 wenye thamani ya Mil. 8.5 bila kuwa na kibali kutoka kwa Mkurugenzi wa Wanyamapori. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Ally Ringo, Azizi Ndago na Erick Ayo. Washtakiwa wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi na Wakili Serikali, Kija Luzungana ambapo alidai washitakiwa hao walitenda makosa hayo katika tarehe na maeneo tofauti kati ya Februari 22 mwaka 2020 na Februari 22 mwaka 2021 katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Morogoro.

Chanzo: millardayo.com