Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasafirisha abiria kwa mwamvuli wa msiba

Coasterrrrr Wasafirisha abiria kwa mwamvuli wa msiba

Mon, 27 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limeshtukia mbinu zinazotumiwa na baadhi ya madereva wa mabasi madogo aina ya Costa kusafirisha abiria bila ya kuwa na kibali kwa kivuli cha kubeba marehemu.

Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limeshtukia mbinu zinazotumiwa na baadhi ya madereva wa mabasi madogo aina ya Costa kusafirisha abiria bila ya kuwa na kibali kwa kivuli cha kubeba marehemu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi Saiomon Maigwa amesema kwa sasa oparesheni kali inaendelea ili kuwabaini wahusika wote na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live