Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanakwaya wauana sababu ya mapenzi- VIDEO

Hukumu Pc Data Wanakwaya wauana sababu ya mapenzi

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: Habarileo

Jeshi la polisi mkoani Tanga linamshikilia Elias Ndekelo (27) mkazi wa rukozi wilaya ya Lushoto kwa tuhuma za mauaji ya mwanakwaya mwenzie Paul Daniel (35) yaliyohusisha wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Henry Mwaibambe amethibitisha tukio hilo.

View this post on Instagram

A post shared by HABARILEO (@habarileo_tz)

Chanzo: Habarileo