Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliopora milioni 1.2 kijijini wauawa

KITINKWIII WEBB Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi

Sun, 8 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majambazi wawili ambao majina yao hayajafahamika wameuawa na wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi, baada ya kuvamia duka la mfanyabiashara mmoja na kupora fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 1.2. 

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi, amesema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 5, 2022, majira ya saa 2:00 usiku katika Kijiji cha Kisongo Pande wilayani kilwa mkoani humo.

"Watu hawa walikuwa wanne, wawili waliingia ndani na wawili walibaki nje na kupiga risasi juu ili kuwatisha wananchi na yule aliyevamiwa walioingia ndani walipora milioni 1.2, kutokana na Polisi Kata na ulinzi shirikishi wananchi waliweza kujikusanya na kuwadhibiti majambzai hao,"amesema Kamanda Kitinkwi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live