Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Same imelazimika kusitisha Mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Taasisi ya Empower Tanzania baada ya kubaini yalikuwa mafunzo yasiyofaa kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Same imelazimika kusitisha Mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Taasisi ya Empower Tanzania baada ya kubaini yalikuwa mafunzo yasiyofaa kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari Mafunzo hayo yaliyohusisha Afya ya Jamii, Afya ya Uzazi na Mahusiano yalibainika kuwa na dosari ikiwemo, Picha, Maneno na Vitabu vinavyotumika kufundishia kuwa na viashiria vya Maadili Yasiyofaa Nchini