Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walimu Wang'oana Meno Morogoro

Musilimu?fit=600%2C380&ssl=1 Kamanda Musilimu

Tue, 19 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni iliyopo katika Tarafa ya Mkuyuni, Morogoro Vijijini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro tuhuma za kumpiga hadi kumng'oa jino la juu mwalimu mwezake, Witnes Makoti huku chanzo kikiwa bado hakijulikani.

Mwalimu huyo aliyefahamika kwa jina la Mussa Hasira anadaiwa kutenda tukio hilo Oktoba 15, 2021 baada ya kupishana kauli wakiwa shuleni hapo.

Kamanda wa Polisi wa Polisi Morogoro, Fortunatus Musilimu ametbibitisha kushikiliwa na mtuhumiwa na kusema kuwa mtuhumiwa huyo alimshambulia kwa fimbo na ngumi mwalimu mwenzake huyo hadi kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live