Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuteka na kuua mtoto (video+)

Video Archive
Sat, 25 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma imewahukumu kunyongwa hadi kufa Atu wawili wakazi wa wa kijiji cha Gwanumpu Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mtoto wa miaka 12 waliomteka wakishinikiza Wazazi wake wawapatie shilingi milioni 5.

Chanzo: millardayo.com