Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wahamiaji haramu 43 wakamatwa Pwani (+picah)

WhatsApp Image 2021 06 07 At 15.35.18 1 660x400.jpeg Wahamiaji haramu 43 wakamatwa Pwani (+picah)

Mon, 7 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Idara ya uhamiaji mkoa wa Pwani imewakamata wahamiaji haramu 43 (Wasomali, Waethiopia na Mbangadeshi) ambao waliingia nchini kinyume na taratibu zilizowekwa.

Hayo yameelezwa na Kamishna Msaidizi wa uhamiaji Omary Hassani Afisa uhamiaji mkoa wa Pwani kuwa wahamiaji hao walitumia majahazi wakitoka mombasa mpaka bagamoyo kwa kutumia bandari bubu ya Lazaba bagamoyo ambapo walishuka kweny majahazi na kutembea kwa saa 24 porini mpaka kijiji cha kidomole fukayose bagamoyo walipoendwa kukamatiwa wakisubili usafiri wa kuwasafirisha kwenda mpakani mwatanzania ili waendelee na safari yao ya kwenda south Africa.

Aidha Kamishna Msaidizi wa uhamiaji Omary ameongoza kuwa wanawashikilia watanzania wanne ambao wanahusika kuwasafirisha wahamiaji haramu hao ambao wote walikamatwa tarehe 6/6/2021 na leo watafikishwa katika mahakama ya wilaya ya bagamoyo.



Chanzo: millardayo.com