Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafukua Kaburi na Kuondoka na Viungo vya Marehemu

KABURI?fit=650%2C341&ssl=1 Wafukua Kaburi na Kuondoka na Viungo vya Marehemu

Tue, 25 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kaburi la mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Rehema Michael aliyekuwa na umri wa miaka 35 aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na kuzikwa katika Kijiji Cha Nguyami kitongoji Cha Mwino kata ya Idibo wilayani Gairo mkoani Morogoro umefukuliwa na watu wasiojulikana na kutolewa viungo vyote vya upande wa kushoto vya mwili wake ikiwemo kichwa, sehemu za siri, moyo na mapafu na kutokomea navyo kusikojulikana.

Chanzo: globalpublishers.co.tz