Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafanyakazi watano TPA wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi

Images.jpeg Wafanyakazi watano TPA wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi

Thu, 10 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Wafanyakazi 5 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Benki ya CRDB wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Kesi inayowakabili Valentine Sangawe, Leticia Massaro, Christina Temu, Eva Vicent na Joseph Ndulu ina jumla ya mashtaka 28 ikiwemo kuisababishia TPA hasara ya zaidi ya Bilioni 1.1 na kutakatisha Tsh. 5,119,839,758.

Watano hao wamesomewa mashtaka na hawakutakiwa kujibu lolote kwasababu Mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, upelelezi wa kesi haujakamilika na Hakimu ameiahirisha hadi Septemba 23.

KIPUA’ STAA ANAEHESHIMIKA KWAO, AMEFANYA TAMASHA IKULU, MREMBO ANAEMMILIKI, ANAJAZA UMATI

Chanzo: millardayo.com