Wed, 8 Sep 2021
Chanzo: millardayo.com
Mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Arusha imewasomea maelezo ya awali wafanyabiashara wawili maarufu mkoani Arusha Philemon Molel pamoja na Baraka Mollel shtaka la matumizi mabaya ya silaha.Ayo TV & Miullardayo.com imekuandalia taarifa kamili hapa bonyeza play kutazama.