Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viongozi wa BAVICHA washinda rufaa ya dhamana

EdL YubXoAANmOx 660x400 Viongozi wa BAVICHA washinda rufaa ya dhamana

Thu, 27 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa, Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji, Twaha Mwaipaya na wengine 7 wameshinda rufaa yao Na. 111/2020 waliyofungua Mahakama Kuu Jijini humo.

Walikata rufaa hiyo kupinga maamuzi ya Mahakama ya Mkoa wa Singida kuwanyima dhamana katika kesi namba 115/2020.

Jaji Latifa Mansour wa Mahakama Kuu ya Dodoma ameelekeza warudishwe Singida kwa ajili ya mchakato wa kupewa dhamana.

MANENO YA WEMA SEPETU KWA CARLINHOS “NINA HAMU NA MECHI, TUPATE MOJA

Chanzo: millardayo.com