Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Mtoto wa Mbowe afunguka kwa uchungu baada ya kesi kufutwa

Video Archive
Fri, 4 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake kuachia huru, Wakili wake Peter Kibatala ameelezea kilochotokea mahakamani.

Mbowe na wenzake watatu wameachiwa huru, mbele ya Jaji Joachim Tiganga baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini DPP, kusema hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao katika kesi ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi nambari 16 ya mwaka 2021.

Video kwa hisani ya AyoTv

Chanzo: www.tanzaniaweb.live