Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO:Ishu ya Shule kuwaka moto yawaibua Polisi

Video Archive
Tue, 13 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

aada ya kukithiri kwa matukio ya moto katika Shule mbalimbli nchini Jeshi la Polisi kupitia mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai DCI Camillius Wambura amewaomba Wakuu wa Shule kushirikiana na Wakuu wa Vituo vya Polisi kutoka maeneo yao kuimarisha Ulinzi katika maeneo ya Shule zilizo na mwingiliano na Jamii.

aada ya kukithiri kwa matukio ya moto katika Shule mbalimbli nchini Jeshi la Polisi kupitia mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai DCI Camillius Wambura amewaomba Wakuu wa Shule kushirikiana na Wakuu wa Vituo vya Polisi kutoka maeneo yao kuimarisha Ulinzi katika maeneo ya Shule zilizo na mwingiliano na Jamii. DCI Wambura ameiomba Ofisi ya Rais TAMISEMI kufuatilia mifumo ya umeme katika Shule mbalimbali Nchini.

Chanzo: millardayo.com