Fri, 21 Jan 2022
Chanzo: millardayo.com
Ni Kutokea Dar es Salaam ambapo imeripotiwa kutoweka kwa vijana watano ambao hawajulikani walipo na wala hakuna mawasiliano yao.
Ni Kutokea Dar es Salaam ambapo imeripotiwa kutoweka kwa vijana watano ambao hawajulikani walipo na wala hakuna mawasiliano yao. Inadaiwa vijana hao watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwaka jana 26/12/2021.
Chanzo: millardayo.com