Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usalama wa Taifa feki wawili wakamatwa Mwanza (+video)

Video Archive
Tue, 8 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Polisi Mwanza wamewakamata Watu wawili wanaojifanya wanatoka Idara ya Usalama wa Taifa Kitengo cha Kikosi Maalum na undercover Usalama wa Taifa.

Polisi Mwanza wamewakamata Watu wawili wanaojifanya wanatoka Idara ya Usalama wa Taifa Kitengo cha Kikosi Maalum na undercover Usalama wa Taifa. “Huyu wa pili alikua na kitambulisho chenye code number MT 822863, baada ya kuhojiwa na wote wameonekana ni Matapeli na wamekua wakiwatisha Wananchi na kuwadai pesa, Wananchi msiache kutoa taarifa za Watu kama hawa na tu tatu za siri za watoa taarifa” – RPC Muliro Jumanne

Chanzo: millardayo.com