Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulinzi mzito nyumbani kwa jamaa alieuwa Askari wanne (Video+)

Video Archive
Wed, 25 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ayo TV & Millardayo.com imefika mahali inapoaminika alikuwa akiishi Hamza, jamaa aliyefanya mauaji ya Askari wawili na watu wengine wawili akiwemo mlinzi .Hapa tunae dereva Taxi aitwae Omary Issa ambae anasimulia namna alivyomfahamu Hamza kuanzia kuzaliwa mpaka urithi wa mgodi walioachiwa na Baba yao pamoja na mengineyo.

“Nilikuwa namfahamu tangu akiwa udogoni nafahammu familia yake nafahamu anapokaa ila kuna muda kidogo alioondoka hapa ila juzi juzi akawa anapita hapa na pikipiki lake”- Dereva Taxi “Ni mtu aliekuwa anajielewa sana, huyu bwana tangu anasoma akaja akaanza kujitegemea kufanya kazi kwasababu hawa baba yao alifariki kwahiyo alivyofariki inasemekana Baba yao aliwaachia mgodi wa dhahabu chunya Mbeya”- Dereva Taxi

“Wapo kama vijana wanne wamejikita kule kwahiyo wengine wanarudi hapa wanamuangalia mama yao kisha wanaondoka, hii ni nyumba ya msajili wamepangisha”- Dereva TaxiKufahamu zaidi unaweza ukabonyeza play kile kilichosemwa na Dereva Taxi kuhusu Hamza

Chanzo: millardayo.com