Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ulinzi:Mbowe na wenzake warudishwa Mahakamani Kisutu (Video+)

Video Archive
Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kusomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kusomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili. Unaweza ukabonyeza play kutazama jinsi Freeman Mbowe na wenzake walivyofikishwa leo Agosti 23, 2021 Mahakama ya Kisutu kusomewa maelezo ya mashtaka yakiwemo Ugaidi na Uhujumu Uchumi.

Chanzo: millardayo.com