Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Takukuru yakamilisha upelelezi kesi ya Malinzi na wenzake

1929 TFF.png TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wamekwisha kamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili waliyokuwa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).



Viongozi hao wanaokabiliwa na mashataka ni pamoja na aliyekuwa rais wa TFF, Jamali Emil Malinzi, Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Swelestine, na Mhasibu wa TFF, Nsiande Isawayo Mwanga.

Washitakiwa hao walipandishwa kizimbani kwamara ya kwanza Juni 29 mwaka 2017 wakikabiliwa namashtaka 28 ya kuhujumu huchumi ya kughushi na kutakatisha fedha dola za Marekani 375,418. Kesi hiyo imeghairishwa hadi Februari 8 mwaka 2018.

Chanzo: bongo5.com