Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TASAF wapewa siku 30 kubaini fedha zilizopigwa

Simbachawene: TAKUKURU Isijifungie Ofisini TASAF wapewa siku 30 kubaini fedha zilizopigwa

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: Jamii

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ametoa Siku 30 za Uchunguzi kwa uongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF), ili kubaini zilipo fedha zilizolipwa bila kuwafikia walengwa na kufahamu kiwango halisi cha fedha zilizopotea kwa mtindo huo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ametoa Siku 30 za Uchunguzi kwa uongozi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF), ili kubaini zilipo fedha zilizolipwa bila kuwafikia walengwa na kufahamu kiwango halisi cha fedha zilizopotea kwa mtindo huo Ni baada ya Wadau wa http://JamiiForums.com kulalamikia uwepo wa Mazingira 'tata' ya ulipaji kwa wanufaika wa #TASAF, ambapo walidai kuwa malipo yanafanyika kwa wasio wanufaika halisi, katika Mikoa kadhaa Nchini ikiwemo #Arusha na #Tanga

Chanzo: Jamii