Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TAKUKURU yamkamata Meneja wa fedha wakampuni ya vinywaji vikali BEVCO

PCCB5.png TAKUKURU yamkamata Meneja wa fedha wakampuni ya vinywaji vikali BEVCO

Wed, 25 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Rwegasira Samson kijiji cha Kinang’weli, Itimila Mkoani Simiyu

Rwegasira alijificha baada ya TAKUKURU kutangaza kuwa inamtafuta ili kumjumuisha kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECC 87/2020 iliyokuwa na washtakiwa wengine watatu

Kesi hiyo inahusu makosa ya Rushwa, Ubadhirifu, Utakatishaji fedha na Ukwepaji kodi unaohusisha zaidi ya Tsh Bilioni 1.6

Rwegasira alikuwa ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya BEVCO limited inayojihusisha na uagizaji na uuzaji wa vinywaji vikali kutoka nje ya nchi.

MANENO YA HALIMA MDEE MBELE YA SPIKA NDUGAI BAADA YA KULA KIAPO CHA UBUNGE

Chanzo: millardayo.com