Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Songwe: Mkusanya mapato atupwa jela kwa ubadhirifu

Jela Pic Data Songwe: Mkusanya mapato atupwa jela kwa ubadhirifu

Tue, 6 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Songwe: Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26.

Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya Hakimu Mkazi, Timoth Lion, mshtakiwa amekutwa na hatia ya kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi.

Aidha, mtuhumiwa amepelekwa gereza la Ilembo - Mbozi baada ya kushindwa kulipa faini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live