Fri, 6 Aug 2021
Chanzo: millardayo.com
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania. Ametoa agizo hilo leo Agosti 6, 2021 jijini Dar es Salaam baada ya kuiona video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha kundi la watu wakiwavamia wapenzi hao na kuwadhalilisha.
Chanzo: millardayo.com