Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shahidi kesi ya Sabaya alivyotaka kupewa Milioni 2 ili amalize Kesi (Video+)

Video Archive
Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha Agosti 3, 2021 imeondoa pingamizi la upande wa jamhuri lililowasilishwa mahakamani hapo kupinga upande wa utetezi kumhoji shahidi kwa kutumia maelezo aliyoyatoa polisi katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Shahidi huyo amedai kwamba aligombana na askari aliyekuwa akimuandika maelezo baada yakutaka kumpa Shilingi Milioni mbili ili amalize Kesi.

Chanzo: millardayo.com