Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shahidi aliyenusurika kupigwa Risasi na Sabaya afunguka

UU6888 660x397 Shahidi aliyenusurika kupigwa Risasi na Sabaya afunguka

Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Shahidi wa nane wa Jamhuri katika kesi ya Unyang’anyi wakutumia Silaha inayomkabili aliekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Wenzake, Magdalene Mallya au Zulfa,Mkazi wa Sombetini jijini Arusha ameieleza Mahakama jinsi alivyonusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya baada ya kuwekewa Bastola kichwani na mdomoni .

Chanzo: millardayo.com