Tue, 20 Jul 2021
Chanzo: globalpublishers.co.tz
Shahidi Akana Kutapeliwa na Sabaya “Simtambui” – Video July 19, 2021 by Global Publishers
Shahidi Mohammed Saadi kwenye kesi ya unyang’anyi kutumia silaha inayomkabili aliekuwa DC wa Hai Lengai Sabaya ameseme aliwaona tu kwa CCTV camera na alikimbilia porini kwa kupata hofu.
Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz