Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakata la House boy anaedaiwa kuua Mama na watoto wake, wenzake wafunguka

E3e3434 660x400 Sakata la House boy anaedaiwa kuua Mama na watoto wake, wenzake wafunguka

Mon, 14 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia SHADRACK KAPANGA (34), Msaidizi wa kazi za ndani (House boy) kwa kosa la kuwauwa wanafamilia.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia SHADRACK KAPANGA (34), Msaidizi wa kazi za ndani (House boy) kwa kosa la kuwauwa wanafamilia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema June 11, 2021 majira ya 17:00hrs walimkamata mtuhumiwa Kapanga kwa tuhuma hizo. Wanafamilia hao waliouawa ni EMILLY MUTABOYERWA (Mama) na wanae DANIELA MUTABOYERWA (15) na DAMITA MUTABOYERWA (13) huko maeneo ya Masaki mtaa wa Maryknol nyumba Na.1224 wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: millardayo.com