Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya na wenzake warudishwa tena mahakamani muda huu (video+)

Video Archive
Mon, 19 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa tena mahakamani kwa ajili yakuanza kusikilizwa kwa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili yeye Daniel Mbura pamoja na Silvester Nyegu ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo hadi July 30 mwaka huu huku upande wa jamhuri ukileta mashahidi kumi na vielelezo kumi.

Chanzo: millardayo.com