Fri, 18 Jun 2021
Chanzo: millardayo.com
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha kwa ajili ya kujibu tuhuma za kesi zinazowakabili ,Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.