Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya mahakamani tena

Rufani Ya DPP Dhidi Ya Sabaya Kusikilizwa Leo Sabaya mahakamani tena

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya akiwasili katika Mahakama ya Rufani Kanda ya Arusha kwa ajili ya kusikiliza shauri la rufani ya jinai namba 231/2022.

Hivi karibuni shauri hilo lilifikishwa mbele ya Majaji watatu wa mahakama hiyo ambao ni Jaji Ignas Kitusi, Jaji Jacobo Mwabegele na Jaji Edith Mgonya.

View this post on Instagram

A post shared by TBCOnline (@tbc_online)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live